Features Tenzi za Rohoni Nyimbo 161
Nyimbo zote za Tenzi za rohoni zinapatikana kwenye App hii.Huna haja tena ya kutembea na kitabu cha tenzi za rohoni popote uendapo iwe kanisani au sehemu yoyote.
unachotakiwa ni kupakua app hii ili uweze kuitumia.Nyimbo zote zimpangiliwa katika mfumo ambao ni rahisi kuutumia na ni haraka zaidi.
hapa utapata nyimbo zote 161 bila shida yoyote.App hii unaweza kuitumia hata ukiwa hauna bando au Mb za kifurushi cha data.
unaweza kubadilisha muonekano wa app kwa kuweka rangi unazotaka wewe.ipakue sasa app hii uweze kuimba na kuabudu kupitia nyimbo za kitabu kitakatifu cha tenzi za rohoni.Programu hii inatumika na madhehebu yote ya kikristo ndani na nje ya Tanzania.
Secure & Private
Your data is protected with industry-leading security protocols.
24/7 Support
Our dedicated support team is always ready to help you.
Personalization
Customize the app to match your preferences and workflow.
See the Tenzi za Rohoni Nyimbo 161 in Action
Get the App Today
Available for Android 8.0 and above